Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Naibu Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Mazingira la Umoja wa Mataifa (UNEP), Bibi Joyce Msuya, Ikulu Jijini Dodoma leo Julai 09,2021.(picha na Ikulu)
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiwa katika picha ya pamoja na Naibu Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Mazingira la Umoja wa Mataifa (UNEP), Bibi Joyce Msuya, Ikulu Jijini Dodoma leo Julai 09,2021.(picha na Ikulu)
Read More