Rais Samia Akutana na Naibu Mkurugenzi Mtendaji Mpango wa Mazingira
Jul 09, 2021
Na
Jacquiline Mrisho
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiwa katika picha ya pamoja na Naibu Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Mazingira la Umoja wa Mataifa (UNEP), Bibi Joyce Msuya, Ikulu Jijini Dodoma leo Julai 09,2021.(picha na Ikulu)