Mhe. Rais Samia Afungua Mkutano Mkuu wa Jumuiya ya Kikristo Tanzania CCT
Jul 08, 2021
Na
Jacquiline Mrisho
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Viongozi wa Jumuiya ya Kikristo Tanzania (CCT) alipowasili katika Eneo la Kilakala Mkoani Morogoro leo Julai 08,2021 kwa ajli ya kufungua Mkutano Mkuu wa CCT.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisindikizwa na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Kikristo Tanzania (CCT) Baada ya kufungua Mkutano Mkuu wa CCT Mkoani Morogoro leo Julai 08,2021.