Mbunge wa Jimbo la Kigoma Kaskazini, Asa Makanika akimuelezea jambo Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Mhandisi Godfrey Kasekenya, wakati Naibu waziri huyo akikagua mradi wa uanzishwaji wa barabara mpya ya Mwandiga hadi Chankere mkoani kigoma inayokadiriwa kuwa na urefu wa kilometa 65 baada ya kukamilika kwake.
Muonekano wa sehemu ya uanzishwaji wa barabara mpya ya Mwandiga hadi Chankere mkoani kigoma inayokadiriwa kuwa na urefu wa kilometa 65 baada ya kukamilika kwake.