Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza wakati alipozindua Sera ya Ubia ya Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere jijini Dar es salaam, Novemba 16, 2022.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na baadhi ya viongozi walioshiriki katika Uzinduzi wa Sera ya Ubia ya Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) wakionyesha nakala za sera hiyo iliyozinduliwa na Waziri Mkuu kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere Jijini Dar es salaam, Novemba 16, 2022. Kutoka kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Dar es...
Read More