Mkurugenzi Msaidizi wa Idara ya Hifadhi ya Jamii, Bw. Omary Mziya (kulia) akizungumza na Waandishi wa Habari kuhusu ushiriki wa Ofisi ya Waziri Mkuu pamoja na Mifuko ya Hifadhi ya Jamii katika Maadhimisho ya Wiki ya Huduma za Kifedha Kitaifa yanayotarajiwa kuanza rasmi tarehe 21 hadi 26, Novemba, 2022, mkoani Mwanza.
Na Mwandishi Wetu – MWANZA
Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu kupitia Idara ya Hifadhi ya Jamii itashiriki katika maadhimisho ya Wiki ya Huduma za Fedha ambayo kitaifa yatafanyika mkoani Mwanza, kuan...
Read More