Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati, Kheri Mahimbali (kushoto), akipokea Taarifa ya Utendaji Kazi wa Bodi ya Nishati Vijijini iliyohitimisha muda wake kisheria Januari 31, 2022 kutoka kwa Mwenyekiti wake, Wakili Julius Kalolo.
Na Veronica Simba - REA
Bodi ya Nishati Vijijini inayosimamia Wakala wa Nishati Vijijini (REA), imehitimisha muda wake kisheria na kupongezwa kwa kutekeleza majukumu yake kwa juhudi, weledi, uadilifu na uzalendo.
Akizungumza mwishoni mwa juma, katika hafla fupi ya kuwaaga Wajumbe wa Bodi hiyo, mgeni ras...
Read More