Rais Dkt. Mwinyi Azungumza na Wahariri wa Vyombo vya Habari na Waandishi wa Habari
Jan 31, 2022
Na
Jacquiline Mrisho
Mhariri wa New Habari, Bw. Absalom Kibanda akiuliza swali wakati wa mkutano wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi na Wahariri wa Vyombo vya Habari na Waandishi wa Habari wa magazeti na Televisheni uliofanyika leo 31-1-2022 katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar
Mwandishi wa Habari Mkongwe Zanzibar, Bw. Said Salim akiuliza swali wakati wa mkutano wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, na Wahariri wa Vyombo vya Habari na Waandishi wa Habari wa magazeti na Televisheni, uliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 31-1-2022.