Baadhi ya Waandishi wa Habari kutoka vyombo mbalimbali vya habari, wakichukua taarifa iliyokuwa ikitolewa na Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika la Posta Tanzania, Kanali Mstaafu, Dk. Haruni Kondo.
Mwenyekiti wa Bodi, Kanali Mstaafu, Dk. Haruni Kondo (katikati), akizungumza na waandishi katika mkutano huo.
Postamasta Mkuu, Hassan Mwang'ombe, akizungumza katika mkutano huo, wakati alipoelezea kuhusu duka la Shirika la kwenye mtandao kwamba sasa tayari linafanya kazi na kuwataka wananchi kulitumia kwa kuweka bidhaa zao ili kuweza kuuza n...
Read More