Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Bi Lucy Kabyemera akizungumza wakati akifungua kikao cha wadau wa sekta ya mipango miji cha kujadili rasimu ya marekebisho ya Kanuni za Sheria za Mipango Miji nchini, Januari 30, 2024 jijini Dodoma
Read More