Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko akizungumza wakati alipokutana na kufanya kikao na ujumbe wa Waziri wa Nyumba, Nishati na Maendeleo ya Makazi kutoka nchini Misri, Mhe. Dkt. Assem Elgazzar kuhusu maendeleo ya utekelezaji wa mradi wa JNHPP leo jijini Dar es Salaam.
Read More