Waziri wa Uchukuzi, Mhe. Prof. Makame Mbarawa, akitoa taarifa kwa umma kuhusu utekelezaji wa ahadi za Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, na mafanikio ndani ya siku 100 za Serikali ya awamu ya Sita; leo Februari 01, 2026, katika ukumbi wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mji wa Serikali Mtumba, jijini Dodoma.
Read More