Mgeni Rasmi, Dkt. Mursal Milanzi (aliyesimama) akizungumza katika warsha ya mradi wa C4YET, iliyofanyika katika ukumbi wa Royal Village, Dodoma.
Serikali imeahidi kuendelea kuandaa mazingira wezeshi pamoja na kuharakisha uundwaji wa Sera na miongozo itakayosaidia wajasiriamali vijana, kuanza kunufaika na mpango wa upatikanaji mikopo kwa njia ya mtandao (Cloud funding) pamoja na kuhakikisha fedha zitakazokusanywa zinatumika kwa malengo yaliyokusudiwa.
Hayo yameelezwa na Dkt. Mursali Milanzi, mgeni rasmi, akimwakilisha Katibu Mkuu Wizara y...
Read More