Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Suzan Mlawi akiongea wakati akifungua Mkutano wa Umoja wa Mataifa Wanawake uliofanyika jana jijini Dar es Salaam.
Mratibu Mkazi wa Umoja wa Mataifa, Alvaro Rodriguez, akiongea katika Mkutano wa Umoja wa Mataifa Wanawake uliofanyika jana jijini Dar es Salaam.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Suzan Mlawi (wa pili kulia) na Mkurugenzi wa Idara ya Habari (MAELEZO), Dkt. Hassan Abbasi (kulia) wakifuatilia moja ya mada zilizotolewa katika Mkutano wa Umo...
Read More