[caption id="attachment_29028" align="aligncenter" width="750"] Sehemu ya wakazi wa kata Zogoali katika wilaya ya Ilala wakimsikiliza Naibu Waziri wa Nishati, Subira Mgalu (hayupo pichani).
[/caption]
[caption id="attachment_29029" align="aligncenter" width="750"] Mmoja wa wakazi wa kata ya Bomba Mbili iliyopo Ilala jijini Dar es Salaam, Dkt. Isaya Madama akitoa kero yake mbele ya Naibu Waziri wa Nishati, Subira Mgalu (hayupo pichani).[/caption]
Na Greyson Mwase, Dar es Salaam
Naibu Waziri wa Nishati, Subira Mgalu ametoa onyo kwa matape...
Read More