Afisa Usimamizi wa Fedha Mwandamizi OR-TAMISEMI, Ismail Chami, akifuatilia mafunzo ya EPICOR 10.2 yalioanza leo kwa Maafisa Manunuzi na Ugavi mkoani Mwanza.
Na: Gladys Mkuchu, PS3
Mafunzo ya siku mbili ya Mfumo wa Usimamizi wa Fedha za Umma (EPICOR) toleo la 10.2 kwa Maafisa Manunuzi na Ugavi yameanza rasmi hivi leo mkoani Mwanza yakijumuisha maafisa kutoka halmashauri za mikoa ya Kanda ya Ziwa ikiwemo Kagera, Geita, Mara,Tabora, Simiyu na Mwanza.
Akizungumza wakati wa ufunguzi wa mafunzo hayo leo Jijini Mwanza, Afisa Usimamizi wa Fedha...
Read More