Na: Lilian Lundo – MAELEZO, Dodoma.
Mfumo wa Malipo Epicor toleo Na 10.2 unatarajiwa kuboresha huduma za jamii hapa nchini kama vile afya na elimu kutokana na mfumo huo kudhibiti ufujaji wa fedha katika ngazi zote za Serikali za Mitaa.
Hayo yameelezwa leo, Jijini Dodoma na Mweka Hazina wa Manispaa ya Singida Aminiel Kamnde akiwa ni mmoja wa washiriki wa mafunzo ya mfumo huo, yanayoendelea kutolewa Jiijini humo ambapo Waweka Hazina, Wahasibu, Maafisa Manunuzi, Wakaguzi wa Ndani na Maafisa TEHAMA wanajengewa uwezo wa namna ya kutumia mfumo...
Read More