Muwezeshaji kutoka Wizara ya Afya,Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto Bw.Mfaume Hemedi akieleza faida za mfumo unaotumika kubaini mahitaji ya watumishi katika vituo vya kutolea huduma za afya(WISN) na ule unaotumika kupanga mgawanyo wa watumishi hao kulingana na uhitaji wa kila kituo (POA) kwa Waganga wakuu wa Halmashauri,Maafisa utumishi,Makatibu wa Afya na Maafisa utawala yalioanza leo Mkoani Iringa.Mifumo hiyo pia inasaidia kutambua uzito na wingi wa kazi uliopo katika vituo vya huduma na pia kupanga kwa kufuata vipaumbele vya watumi...
Read More