Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akifungua kitambaa kuashiria uzinduzi wa Chuo Kikuu Katoliki Mbeya, wakati wa hafla iliyofanyika chuoni hapo Januari 16, 2024 mkoani Mbeya. Kushoto ni Mkuu wa Chuo hicho na Rais wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Askofu Gervas Nyaisonga na wa pili kushoto ni Cadinali Mstaafu, Askofu Polycap Pengo
Read More