Makamu wa Rais Azungumza katika Mkutano wa Mifumo ya Chakula - Uswisi
Jan 18, 2024
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Philip Mpango akizungumza wakati wa Mkutano wa Ngazi ya Juu wa Mifumo ya Usalama wa Chakula uliyoshirikisha Muungano wa wadau wa usalama wa chakula duniani. Mkutano huo umefanyika Kando ya Mkutano wa Jukwaa la Uchumi Duniani (WEF) unaofanyika Davos nchini Uswisi.
Na
Ofisi ya Makamu wa Rais