Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa leo Januari 18, 2024 akiwasili nchini Uganda ambapo atamuwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Mkutano wa 19 wa Wakuu wa Nchi na Serikali Zisizofungamana na Upande Wowote (NAM) ulioanza tarehe 15 - 20 Januari, 2024 na Mkutano wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Kundi la G77+China utakaofanyika tarehe 21-22 Januari, 2024, Kampala - Uganda.
Na
Ofisi ya Waziri Mkuu