Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Rais Samia Azungumza na Timu ya Taifa kwa Njia ya Simu
Jan 17, 2024
Rais Samia Azungumza na Timu ya Taifa kwa Njia ya Simu
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amezungumza na wachezaji wa timu ya Taifa ya mpira wa miguu Taifa Stars jioni hii kwa njia ya simu na kuwapa moyo kuelekea mchezo wao wa leo na timu ya Taifa ya Morocco ikiwa ni mechi yao ya kwanza katika michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika Afcon 2023 yanayofanyika nchini Ivory Coast. Rais Samia amezungumza na timu hiyo ya Taifa akiwa visiwani Zanzibar tarehe 17 Januari, 2024.
Na Ikulu

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi