Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akifungua kitambaa kuashiria uzinduzi wa Hospitali ya Saifee Tanzania iliyopo jijini Dar es Salaam. kulia ni Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu na Kushoto ni Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa hospitali hiyo, Murtaza Mamawala, Muwakilishi wa Bohora Tanzania, Janab Amil Saheb Sheikh Tayyebali na Mkurugenzi wa Idara ya Upasuaji Moyo, Hussein Hasanali. Mheshimiwa Majaliwa amemwakilisha Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwenye uzinduzi huo, Februari 18, 2024 jijini Dar es Salaam.
Read More