Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Rais Samia Suluhu Akutana na Waziri Mkuu wa Ethiopia, Abiy Ahmed
Mar 01, 2024
Rais Samia Suluhu Akutana na  Waziri Mkuu wa Ethiopia, Abiy Ahmed
Waziri Mkuu wa Ethiopia, Abiy Ahmed akisaini kitabu baada ya kufika Ikulu jijini Dar es Salaam, aliyesimama ni mwenyeji wake Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan
Na Ikulu

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan na Waziri Mkuu wa Ethiopia, Abiy Ahmed wakishuhudia utiaji saini hati za makubaliano ya ushirikiano baina ya nchi hizo Katika sekta za kilimo, biashara, nishati na ushirikiano wa utamaduni.

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi