[caption id="attachment_6175" align="aligncenter" width="800"] Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Prof. Elisante Ole Gabriel (kushoto) akimsikiliza Mkuu wa Mkoa wa Njombe Mhe. Christopher Ole Sendeka (kulia) alipofanya ziara ya kutembelea Mkoa huo.[/caption]
(Picha na Zawadi Msalla-WHUSM)
Na Zawadi Msalla-WHUSM
Mkuu wa Mkoa wa Njombe Mhe. Christopher Ole Sendeka amewataka watendaji wa Wizara ya Habari,Utamaduni, Sanaa na Michezo kuwa mstari wa mbele katika kutoa elimu kwa umma ya kuwa na utamaduni wa kutumia muda ki...
Read More