Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Majaliwa Akutana na Mwalimu Wake wa Sekondari
Jul 25, 2017
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_7497" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mwalimu wake, Agrias Sichone ambaye alimfundisha katika Shule ya Sekondari ya Kigonsera mwaka 1977 hadi 1980. Alikuwa katika kikao cha kuhitimisha ziara yake mkoani Songwe kwenye ukumbi wa Shule ya Sekondari ya Sunrise mkoani humo Julai 24, 2017. kulia kwake ni Mkuu wa Mkoa wa Songwe, Chiku Galawa. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi