Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Rais Dkt. Magufuli Afungua Barabara ya Itigi – Manyoni - Chaya
Jul 25, 2017
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_7461" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwahutubia Wananchi Kijiji Cha Tula Uyui Mkoani Tabora waliojitokeza Barabarani Kumsalimia akiwa njiani kuelekea Mkoani Dodoma akitokea kwenye Ziara ya siku tatu Mkoani Tabora Julai 25, 2017.[/caption] [caption id="attachment_7462" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisisitiza jambo akiwa njiani katika moja ya mikutano ya barabarani kwa waliojitokeza Kumsalimia akiwa njiani kuelekea Mkoani Dodoma akitokea kwenye Ziara ya siku tatu Mkoani Tabora Julai 25, 2017.[/caption] [caption id="attachment_7465" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akikaribishwa na Mkuu wa Mkoa wa Singida Dkt Rehema Nchimbi wakati mheshimiwa Rais alipowasili Mkoani Singida eneo la Itigi ili kufungua Barabara ya Itigi - Manyoni - Chaya yenye urefu wa kilometa 89.5 iliyojengwa na Serikali kwa asilimia mia moja, Mheshimiwa Rais alikuwa akitokea kwenye Ziara ya siku tatu Mkoani Tabora Julai 25, 2017.[/caption] [caption id="attachment_7466" align="aligncenter" width="750"]
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia wananchi wa Itigi na Manyoni wakati wa Ufunguzi wa Barabara ya Itigi - Manyoni - Chaya yenye urefu wa kilometa 89.5 iliyojengwa kwa fedha za Serikali kwa asilimia mia moja, Mheshimiwa Rais alikuwa akitokea kwenye Ziara ya siku tatu Mkoani Tabora kwa Kupitia Singida hadi Makao Makuu ya Nchi Mkoani Dodoma Julai 25,2017.[/caption] [caption id="attachment_7467" align="aligncenter" width="750"]
Wananchi wa Itigi na Manyoni wakimsikiliza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwatubia kwenye Ufunguzi wa Barabara ya Itigi - Manyoni - Chaya yenye urefu wa kilometa 89.5 iliyojengwa kwa fedha za Serikali kwa asilimia mia moja,Mheshimiwa Rais alikuwa akitokea kwenye Ziara ya siku tatu Mkoani Tabora kwa Kupitia Singida hadi Makao Makuu ya Nchi Mkoani Dodoma Julai 25,2017.[/caption] [caption id="attachment_7468" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli wapili kushoto na Viongozi wengine wa Mkoa wa Singida, wakiondoa kitambaa kuashiria Kufunguliwa Rasmi kwa Barabara ya Itigi -Manyoni -Chaya yenye urefu wa kilometa 89.5 iliyojengwa kwa fedha za Serikali kwa asilimia mia moja, Mheshimiwa Rais alikuwa akitokea kwenye Ziara ya siku tatu Mkoani Tabora kwa Kupitia Singida hadi Makao Makuu ya Nchi Mkoani Dodoma Julai 25, 2017.[/caption] [caption id="attachment_7471" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na Viongozi wengine wa Mkoa wa Singida na Tabora Wakikata Utepe kama ishara ya kufunguliwa Rasmi kwa Barabara ya Itigi - Manyoni - Chaya yenye urefu wa kilometa 89.5 iliyojengwa kwa fedha za Serikali kwa asilimia mia moja, Mheshimiwa Rais alikuwa akitokea kwenye Ziara ya siku tatu Mkoani Tabora kwa Kupitia Singida hadi Makao Makuu ya Nchi Mkoani Dodoma Julai 25, 2017[/caption] [caption id="attachment_7472" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli kulia akiteta jambo na Mwakilishi wa Kampuni ya Power China International Group Limited nchini Bw. Wang Chao wakati wa Ufunguzi wa Barabara ya Itigi -Manyoni - Chaya yenye urefu wa kilometa 89.5 iliyojengwa kwa fedha za Serikali kwa asilimia mia moja, Mheshimiwa Rais alikuwa akitokea kwenye Ziara ya siku tatu Mkoani Tabora kwa Kupitia Singida hadi Makao Makuu ya Nchi Mkoani Dodoma Julai 25, 2017[/caption] [caption id="attachment_7477" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwashukuru na kuwasalimia kwa kuwapungia mikono wa wananchi wa Itigi na Manyoni walioshiriki na Kushuhudia Ufunguzi wa Barabara ya Itigi -Manyoni -Chaya yenye urefu wa kilometa 89.5 iliyojengwa kwa fedha za Serikali kwa asilimia mia moja, Mheshimiwa Rais alikuwa akitokea kwenye Ziara ya siku tatu Mkoani Tabora kwa Kupitia Singida hadi Makao Makuu ya Nchi Mkoani Dodoma Julai 25, 2017. (Picha na: Ikulu)[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi