Na. Georgina Misama
Watanzania 96 kutoka Serikalini, sekta binafsi na asasi za kiraia, wamenufaika na ufadhili wa masomo kutoka seriklai ya Uholanzi ikiwa ni sehemu ya mpango wa Serikali hiyo kuchangia maendeleo nchini.
Akiongea katika ghafla fupi ya kuwaaga Watanzania hao, iliyofanyika jana katika ukumbi wa Ubalozi wa Ufaransa Jijini Dar es Salaam, Balonzi wa Uholanzi nchini Tanzania Mhe. Jaap Frederiks alisema kwamba Serikali ya Uholanzi kwa muda mrefu imekuwa ikichangia miradi ya maendeleo nchini Tanzania.
Balozi Jaap alieleza kuwa Wa...
Read More