[caption id="attachment_7552" align="aligncenter" width="750"] Naibu Waziri wa Habari, Utamduni, Sanaa na Michezo Mhe. Annastazia James Wambura akizungumza wakati wa mkutano wa majadiliano kuhusu Vyombo vya Habari na Mawasiliano ya Mtandao leo Jijini Dar es Salaam. Mkutano huo umefanyika kwa lengo la kubadilishana uzoefu kuhusu masuala ya mitandao chini ya uratibu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo ya Tanzania na Wizara ya Habari, na masuala ya Mitandao China. Kutoka kulia ni Mhariri Mtendaji wa Kampuni ya Magazeti ya Serikali (TS...
Read More