Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Waziri Mwakyembe Akutana na Ujumbe wa Wataalamu Kutoka Morocco kwa Ajili ya Shughuli za Awali za Ujenzi wa Eneo Changamani la Michezo Mkoani Dodoma.
Aug 16, 2017
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_9115" align="aligncenter" width="750"] Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe.Dk.Harrison Mwakyembe akizungumza na ujumbe wa wataalamu kutoka Morocco waliofika Mkoani Dodoma kwa ajili ya kuanza shughuli za awali za ujenzi wa eneo changamani la Michezo .Kushoto kwa Waziri ni Mkurugenzi wa Michezo wa Wizara hiyo Bw.Yusuph Singo[/caption] [caption id="attachment_9106" align="aligncenter" width="750"] Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe.Dk.Harrison Mwakyembe akiwa katika picha ya pamoja na wataalamu kutoka Morocco waliofika Mkoani Dodoma kwa ajili ya kuanza shughuli za awali za ujenzi wa eneo changamani la Michezo.Wengine pichani ni Mkurugenzi wa Michezo wa Wizara hiyo Bw.Yusuph Singo na wa kwanza kulia ni Mkurugenzi wa Sera na Mipango Bw.Petro Lyatuu.Picha zote na Daudi Manongi..[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi