Na. Irene Bwire, Ofisi ya Waziri Mkuu
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amempa siku 15 Mweka Hazina wa Wilaya ya Sikonge, Bw. Evans Shemdoe ajieleze ni kwa nini ameshindwa kufikisha asilimia 80 ya makusanyo ya ndani.
Waziri Mkuu ametoa agizo hilo leo jana wakati akizungumza na watumishi na watendaji wa wilaya hiyo, mjini Sikonge.
“Nataka maelezo yakayoniridhisha ni kwa nini hamkufikisha asilimia 80 ya makusanyo ya halmashauri ambacho ni kiwango cha chini. Nzega TC wamefikisha asilimia 112, Kaliua wana asilimia 91, Nzega DC wana asilimia 80, ni kw...
Read More