[caption id="attachment_10063" align="aligncenter" width="750"] Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu Bibi Maimuna Tarishi akifungua mkutano wa siku moja wa wadau kuchangia utekelezaji wa mkakati wa Kitaifa wa miaka mitano wa kuzuia ukatili dhidi ya wanawake na watoto mapema hii leo jijini Dar es Salaam.[/caption]
Na: Anthony Ishengoma, MAENDELEO YA JAMII
Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia Wazee na Watoto inatafsiri kwa Kiswahili Mkakati wa Taifa wa miaka mitano wa Kutokomeza Ukatili dhidi ya Wanawake na Watoto ili kurahisisha mawasiliano...
Read More