Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Wawakilishi wa Jumuiya ya Wafanyabiashara ya KEIZAI DOYUKAI kwenye ofisi yao iliyopo Marunouchi, jijini Tokyo, Japan.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiagana na Mwenyekiti wa timu ya Afrika ya KEIZAI DOYUKAI, Bw. Mutsuo Iwai, baada ya kikao kilichofanyika Marunouchi, jijini Tokyo, Japan
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Wawakilishi wa Shirikisho la Wafanyabiashara wa Japan (KEIDANREN) ofisini kwao Otemachi, jijini Tokyo, Japan.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mwenyek...
Read More