Serikali Yatambulisha Mradi wa Kujenga Uwezo wa Utayari wa Nchi Kuhimili Athari za Mabadiliko ya Tabianchi
Sep 29, 2022
Na
Jacquiline Mrisho
Mkurugenzi wa Miradi wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP), Bw. Amon Manyama akizungumza wakati wa kikao cha Kutambulisha na Kuandaa Mradi wa Kujenga Uwezo wa Utayari wa Nchi Kuhimili Athari za Mabadiliko ya Tabianchi kilichofanyika leo Septemba 29, 2022 jijini Dodoma.
Mkurugenzi wa Mazingira Ofisi ya Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Bi. Farhat Ali Mbarouk akitoa neno wakati wa Kikao cha Kutambulisha na Kuandaa Mradi wa Kujenga Uwezo wa Utayari wa Nchi Kuhimili Athari za Mabadiliko ya Tabianchi kilichofanyika leo Septemba 29, 2022 jijini Dodoma.
Washiriki wakiwa katika Kikao cha Kutambulisha na Kuandaa Mradi wa Kujenga Uwezo wa Utayari wa Nchi Kuhimili Athari za Mabadiliko ya Tabianchi kilichofanyika leo Septemba 29, 2022 jijini Dodoma.
Mratibu wa Mradi wa Kujenga Uwezo wa Utayari wa Nchi Kuhimili Athari za Mabadiliko ya Tabianchi kutoka Ofisi ya Makamu wa Rais, Bi.Asia Akule akiwasilisha mada kuhusu mradi huo kwa washiriki wakati wa kikao hicho kilichofanyika leo Septemba 29, 2022 jijini Dodoma.
Mtaalamu wa Miradi wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP), Bw. Abbasi Kitogo akiwasilisha mada kuhusu mradi huo kwa washiriki wakati wa kikao hicho kilichofanyika leo Septemba 29, 2022 jijini Dodoma.
Mkurugenzi wa Mazingira Ofisi ya Makamu wa Rais, Dkt. Andrew Komba akiwa katika picha ya pamoja na viongozi pamoja na wadau baada ya kufungua Mradi wa Kujenga Uwezo wa Utayari wa Nchi Kuhimili Athari za Mabadiliko ya Tabianchi kilichofanyikkwa leo Septemba 29, 2022 jijini Dodoma.