Rais Dkt. Mwinyi Akutana na Kuzungumza na Dkt.Charlotte Hawkins
Sep 29, 2022
Na
Jacquiline Mrisho
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Dkt. Charlotte Hawkins, Daktari bingwa wa Upasuaji kutoka nchini Uingereza alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo yaliyofanyika leo 29-9-2022, katika ukumbi wa Ikulu.