Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiagana na Mwenyekiti wa timu ya Afrika ya KEIZAI DOYUKAI, Bw. Mutsuo Iwai, baada ya kikao kilichofanyika Marunouchi, jijini Tokyo, Japan
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Wawakilishi wa Shirikisho la Wafanyabiashara wa Japan (KEIDANREN) ofisini kwao Otemachi, jijini Tokyo, Japan.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mwenyekiti wa Kamati ya nchi zilizo Kusini mwa Sahara, Bw. Hajime Kawamura, alipowasili ofisini kwao Otemachi, jijini Tokyo, Japan.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Rais wa Taasisi ya Zimamoto ya Japan, Kamishna Akimoto Toshifumi kwenye kikao kilichofanyika ofisini kwao Higashi-Shimbashi, jijini Tokyo, Japan
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akifafanuliwa jambo na Rais wa taasisi ya Zimamoto ya Japan, Kamishna Akimoto Toshifumi (kulia) baada ya kikao kilichofanyika ofisini kwao Higashi-Shimbashi, jijini Tokyo, Japan. Katikati ni Naibu Mkurugenzi wa Masuala ya Kimataifa Fukushi Hiroshi.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akioneshwa kaburi la pamoja la Askari wa Jeshi la Zimamoto, waliopoteza maisha kwenye harakati za uokoaji na Rais wa Taasisi ya Zimamoto ya Japan, Kamishna Akimoto Toshifumi ofisini kwao Higashi-Shimbashi, jijini Tokyo, Japan.