Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Mohamed Mchengerwa akitoa majibu ya nyongeza kwa maswali ya Waheshimiwa Wabunge pamoja na kuzungumza na baadhi ya Wabunge leo Septemba 13, 20222 Bungeni jijini Dodoma.
Na Shamimu Nyaki - Dodoma
Naibu Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Pauline Gekul ameeleza kuwa ujenzi wa Uwanja wa Mpira wa Miguu jijini Dodoma upo katika hatua ya utekelezaji na tayari Serikali imeshaanza kutenga fedha za ujenzi huo.
Mhe. Gekul ameeleza hayo leo Septemba 13, 2022 Bungeni jijini Dodoma, wakati akijibu...
Read More