Rais Dkt. Mwinyi Akutana na Kuzungumza na IJP Wambura
Sep 13, 2022
Na
Jacquiline Mrisho
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi akiagana na Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania, IJP Camillus Mongoso Wambura, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo tarehe 13-9-2022