[caption id="attachment_14491" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimsalimia Sheikh Mkuu wa Tanzania, Mufti Abubacary bin Zubeiry Ally wakati alipokwenda nyumbani kwake Mtaa wa UfipaKinondoni jijini Dar es salaam Septemba 19, 2017 kumpa pole kufuatia kifo cha kaka yake Saad Zubeiry Ally kilichotokea kwenye Hospitali ya Taifa ya Muhimbili Septemba 18, 2017.[/caption]
[caption id="attachment_14492" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu, Kassim Majliwa akizungumza na Sheikh Mkuu wa Tanzania, Mufti Abubacar...
Read More