Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Majaliwa Ampa Pole Sheikh Mkuu wa Tanzania kwa Kufiwa na Kaka Yake
Sep 19, 2017
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_14491" align="aligncenter" width="750"]
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimsalimia Sheikh Mkuu wa Tanzania, Mufti Abubacary bin Zubeiry Ally wakati alipokwenda nyumbani kwake Mtaa wa Ufipa
Kinondoni jijini Dar es salaam Septemba 19, 2017 kumpa pole kufuatia kifo cha kaka yake Saad Zubeiry Ally kilichotokea kwenye Hospitali ya Taifa ya Muhimbili Septemba 18, 2017.[/caption] [caption id="attachment_14492" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu, Kassim Majliwa akizungumza na Sheikh Mkuu wa Tanzania, Mufti Abubacary Zubeiry bin Ally wakati alipokwenda nyumbani kwake Mtaa wa Ufipa Kinondoni jijini Dar es salaam Septemba 19, 2017 kumpa pole kufuatia kifo cha kaka yake Saad Zubeiry Ally kilichotokea Hospitali ya Taifa ya Muhimbili Septemba 18, 2017.[/caption] [caption id="attachment_14493" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu, Kassim Majliwa akizungumza na Sheikh Mkuu wa Tanzania, Mufti Abubacary Zubeiry bin Ally wakati alipokwenda nyumbani kwake Mtaa wa Ufipa Kinondoni jijini Dar es salaam Septemba 19, 2017 kumpa pole kufuatia kifo cha kaka yake Saad Zubeiry Ally kilichotokea kwenye Hospitali ya Taifa ya Muhimbili Septemba 18, 2017. Kushoto ni Kadhi Mkuu wa Tanzania , Sheikh Abadallah Mnyasi. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi