Naibu Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Mhandisi Kundo Mathew akiwa katika picha ya pamoja na wawakilishi wa nchi wanachama za Umoja wa Posta Afrika (PAPU) baada ya kufungua Mkutano wa 41 wa Baraza la Utawala la Umoja wa Posta Afrika,leo jijini Arusha
Read More