Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Rais Samia Azindua Miradi mbalimbali ya Maendeleo kuelekea Kilele cha Tamasha la Kizimkazi
Aug 29, 2023
Rais Samia Azindua Miradi mbalimbali ya Maendeleo kuelekea Kilele cha Tamasha la Kizimkazi
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akipiga makofi pamoja na viongozi wengine mara baada ya kufungua madarasa 6 ya jengo la Skuli ya Msingi Muyuni B tarehe 29 Agosti, 2023 Mkoa wa Kusini Unguja Zanzibar katika shamrashamra za kuelekea kwenye kilele cha Tamasha la Kizimkazi.
Na Ikulu

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza wakati akikagua madarasa ya Shule ya Msingi Muyuni B mara baada ya ufunguzi katika Mkoa wa Kusini Unguja Zanzibar tarehe 29 Agosti, 2023.

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa pamoja na viongozi wengine wakati akivuta kitambaa kuashiria ufunguzi wa chumba cha kompyuta na ukumbi wa Mtihani wa Skuli ya Sekondari ya Muyuni B (Muyuni Community Hall) kwenye hafla fupi iliyofanyika Mkoa wa Kusini Unguja Zanzibar katika shamrashamra za kuelekea kwenye kilele cha Tamasha la Kizimkazi tarehe 29 Agosti, 2023.

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa pamoja na viongozi wengine wakati akikata utepe ufunguzi wa chumba cha kompyuta na ukumbi wa Mtihani wa Skuli ya Sekondari ya Muyuni B (Muyuni Community Hall) kwenye hafla fupi iliyofanyika Mkoa wa Kusini Unguja Zanzibar katika shamrashamra za kuelekea kwenye kilele cha Tamasha la Kizimkazi tarehe 29 Agosti, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza mara baada ya kufungua chumba cha kompyuta na ukumbi wa Mtihani wa Skuli ya Sekondari ya Muyuni B kwenye hafla fupi iliyofanyika Mkoa wa Kusini Unguja Zanzibar tarehe 29 Agosti, 2023 katika shamrashamra za kuelekea kwenye kilele cha Tamasha la Kizimkazi.

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akimsikiliza Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya NMB, Bi. Ruth Zaipuna kuhusu ujenzi wa Skuli ya Maandalizi Tasani, Makunduchi Mkoa wa Kusini Unguja Zanzibar tarehe 29 Agosti, 2023.

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akikata utepe kuzindua ugawaji wa gari la OCD Kizimkazi Mkunguni pamoja na Gari la OCD Makunduchi tarehe 29 Agosti, 2023 katika shamrashamra za kuelekea kwenye kilele cha Tamasha la Kizimkazi 

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akimkabidhi funguo za magari Kamishna wa Jeshi la Polisi Zanzibar, Hamad Khamis Hamad mara baada ya uzinduzi katika shamrashamra za kuelekea kwenye kilele cha Tamasha la Kizimkazi Mkoa wa Kusini Unguja. 

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akizindua Kituo cha Afya cha mama na mtoto Kizimkazi Dimbani tarehe 29 Agosti, 2023 katika shamrashamra za kuelekea kwenye kilele cha Tamasha la Kizimkazi Mkoa wa Kusini Unguja. 

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akikagua Kituo cha Afya cha mama na mtoto Kizimkazi Dimbani tarehe 29 Agosti, 2023 mara baada ya kukizindua katika shamrashamra za kuelekea kwenye kilele cha Tamasha la Kizimkazi Mkoa wa Kusini Unguja. 

 

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Waziri wa Afya Zanzibar Mhe. Nassor Ahmed Mazrui kabla ya kukabidhi gari la Wagonjwa kwa ajili ya Kituo cha Afya Kizimkazi Dimbani tarehe 29 Agosti, 2023.

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi