Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Makamu wa Rais Aomboleza Kifo cha Dada Yake
Aug 29, 2023
Makamu wa Rais Aomboleza Kifo cha Dada Yake
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Philip Mpango akiweka saini katika kitabu cha maombolezo ya kifo cha Dada yake Marehemu, Bi. Maria Isdor Nzabhayanga mara baada ya kuwasili msibani katika Kijiji cha Kipalapala mkoani Tabora leo tarehe 29 Agosti 2023.
Na Ofisi ya Makamu wa Rais

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Philip Mpango akiwa pamoja na ndugu, jamaa na marafiki katika kuomboleza kifo cha dada yake Marehemu, Bi. Maria Isdor Nzabhayanga mara baada ya kuwasili msibani katika Kijiji cha Kipalapala mkoani Tabora leo tarehe 29 Agosti, 2023.

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi