Mhasibu Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Bw. Noah Tambukwa akitoa maelekezo ya namna ya kutumia mfumo mpya wa malipo (epicor 10.2) kwa Maafisa Manunuzi wa Halmashauri za Kigoma, Kasulu na Mkalama, leo Jijini Dodoma.
Maafisa Manunuzi wa Manispaa ya Shinyanga, Bw. Oscar Mshana (kushoto), Halmashauri ya Mji Shinyanga, Bw. Abraham Kimambo (katikati) na Halmashauri ya Bahi, Bi. Yaweaichiwake Macha (kulia) wakifanya mazoezi ya kutumia mfumo wa malipo (epicor 10.2), leo Jijini Dodoma. Mfumo huo unatarajiwa kuanza kutu...
Read More