Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Mafunzo ya Mfumo wa Usimamizi wa fedha za Umma toleo la 10.2 (Epicor 10.2) kwa Maafisa Ugavi yafungwa Mkoani Iringa
Jun 09, 2018
Na Msemaji Mkuu

Mhasibu kutoka Ofisi ya Rais-TAMISEMI Bw.Juma Shaha akifuatilia mafunzo kwa vitendo kwa kutumia Mfumo wa Usimamizi wa fedha za Umma toleo la 10.2 (Epicor 10.2) kwa Maafisa Ugavi  wa halmashauri na Manispaa kutoka Mikoa ya Iringa,Morogoro,Tanga na Kilimajaro leo  Mkoani Iringa.

Afisa Ugavi kutoka Halmshauri ya Rombo Bw.Tofiki Athumani akifanya mazoezi kwa vitendo jinsi ya kutumia mfumo wa Usimamizi wa fedha za Umma toleo la 10.2 (Epicor 10.2) wakati wa mafunzo ya mfumo huo yanayoendelea leo  Mkoani Iringa.

Maafisa Ugavi kutoka mikoa ya Iringa,Morogoro,Tanga na Kilimajaro wakifanya mafunzo kwa vitendo kwa kutumia Mfumo wa Usimamizi wa fedha za Umma toleo la 10.2 (Epicor 10.2) yanayoendelea Mkoani Iringa.

Maafisa Ugavi kutoka mikoa ya Iringa,Morogoro,Tanga na Kilimajaro wakifanya mafunzo kwa vitendo kwa kutumia Mfumo wa Usimamizi wa fedha za Umma toleo la 10.2 (Epicor 10.2) leo Mkoani Iringa.

Mtaalamu Mshauri wa masuala ya rasilimali fedha kutoka Mradi wa Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3) Bi Hellen Nyagwa na Mshauri wa Teknolojia ya Habari na Mawasiliano kutoka kutoka  (PS3) Bw.Anikija Muze wakijadili jambo wakati wa mafunzo ya mfumo wa  Usimamizi wa fedha za Umma toleo la 10.2 (Epicor 10.2) kwa Maafisa Ugavi leo Mkoani Iringa.

Afisa TEHAMA kutoka Ofisi ya Rais-TAMISEMI Bw.James Mtatifikolo akiwaelekeza Maafisa ugavi jinsi ya kutumia  dawati la Msaada kwa watumiaji wa mfumo wa  Usimamizi wa fedha za Umma toleo la  Epicor 10.2 leo Mkoani Iringa.

Mtaalamu Mshauri wa masuala ya rasilimali fedha kutoka Mradi wa Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3) Bi Hellen Nyagwa akizungumza wakati wa kufunga mafunzo ya siku mbili kwa Maafisa ugavi wa halmashauri na Manispaa kutoka Mikoa ya Iringa,Morogoro,Tanga na Kilimajaro leo Mkoani Iringa.

Mtaalamu Mshauri wa masuala ya rasilimali fedha kutoka Mradi wa Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3) Bi Hellen Nyagwa akiwa katika picha ya pamoja na washiriki wa mafunzo ya siku mbili kwa Maafisa ugavi wa halmashauri na manispaa kutoka Mikoa ya Iringa,Morogoro,Tanga na Kilimanjaro leo Mkoani Iringa.

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi