Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Mvumi, Livingstone Lusinde, bungeni jijini Dodoma, Mei 23, 2022.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na kocha Msaidizi wa Namungo FC, Jamhuri Kihwelu (Julio) kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma, Mei 23, 2022. Katikati ni Mbunge wa Mheza, Hamisi Mwinjuma.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Naibu Katibu Mkuu TAMISEMI, Ramadhan Kailima kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma, Mei 23, 2022.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na walimu na wanaf...
Read More