Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akiagana na Viongozi mbalimbali kwenye uwanja wa ndege wa Dodoma kabla ya kuondoka kuelekea Accra nchini Ghana kwa ajili ya Ziara ya Kikazi ya Siku tatu leo tarehe 23 Mei, 2022
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akiagana na Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa katika uwanja wa ndege wa Dodoma wakati akielekea Accra nchini Ghana kwa ajili ya Ziara ya Kikazi ya Siku tatu leo tarehe 23 Mei, 2022.