Mke wa Waziri Mkuu, Mama Mary Majaliwa akimpa pole Mke wa Rais wa Awamu ya Nne, Mama Salma Kikwete (kushoto) ambaye amefiwa na dada yake, Mwanakombo Bakari Ngayama, nyumbani kwa Rais Mstaafu jijini Dar es salaam, Desemba 23, 2021.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne, Jakaya Kikwete wakati alipokwenda nyumbani kwa Rais Mstaafu huyo jijini Dar es salaam kutoa pole kwa familia kufuatia kifo cha Mwanakombo Bakari Ngayama, dada yake, Mama Salma Kikwete (kushoto), Desemba 23, 2021. Marehemu anatarajiwa...
Read More