Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Mwanasheria Mkuu, Mhe. Dkt. Mwinyi Talib Haji, kuwa Mjumbe wa Tume ya Mipango, hafla hiyo iliyofanyika leo 27-12-2021, katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Fedha na Mipango Zanzibar. Mhe Jamal Kassim Ali, kuwa Mjumbe wa Tume ya Mipango, hafla hiyo iliyofanyika leo 27-12-2021, katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi akisaini hati ya Kiapo ya Waziri wa Ardhi, Maendeleo na Makaazi Zanzibar, Mhe. Riziki Pembe Juma, baada ya kumuapisha kuwa Mjumbe wa Tume ya Mipango, hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Kazi Uchumi na Uwekezaji Zanzibar, Mhe. Mudrik Ramadhani Soraga, kuwa Mjumbe wa Tume ya Mipango, hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Waziri wa Biashara na Maendeleo ya Viwanda Zanzibar, Mhe Omar Said Shaban, kuwa Mjumbe wa Tume ya Mipango, hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Waziri wa Ujenzi Uchukuzi na Mawasiliano Zanzibar Mhe. Rahma Kassim Ali, kuwa Mjumbe wa Tume ya Mipango, hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu leo 27-12-2021 Jijini Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Waziri wa Utalii na Mambo ya Kale Zanzibar, Mhe. lela Mohammed Mussa, kuwa Mjumbe wa Tume ya Mipango, hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu leo 27-12-2021 Jijini Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Waziri wa Uchumi wa Buluu na Uvuvi Zanzibar, Mhe. Abdalla Hussein Kombo, kuwa Mjumbe wa Tume ya Mipango, hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu leo 27-12-2021 Jijini Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Dk. Rahma Salim Mahfoudh kuwa Kaimu Katibu Mtendaji wa Tume ya Mipango Zanzibar.hafla hiyo iliyofanyika leo 27-12-2021, katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar