Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne, Jakaya Kikwete wakati alipokwenda nyumbani kwa Rais Mstaafu huyo jijini Dar es salaam kutoa pole kwa familia kufuatia kifo cha Mwanakombo Bakari Ngayama, dada yake, Mama Salma Kikwete (kushoto), Desemba 23, 2021. Marehemu anatarajiwa kuzikwa Desemba 24, 2021 Pongwe Tanga. Wa pili kushoto ni Mke wa Waziri Mkuu, Mama Mary Majaliwa.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne, Jakaya Kikwete wakati alipokwenda nyumbani kwa Rais Mstaafu huyo jijini Dar es salaam kutoa pole kwa familia kufuati kifo cha Mwanakombo Bakari Ngayama, dada yake Mama Salma Kikwete, Desemba 23, 2021. Marehemu anatarajiwa kuzikwa Desemba 24, 2021 Pongwe Tanga.